FT: Simba 2-0 Wydad | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 19.12.2023

FT: Simba 2-0 Wydad | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 19.12.2023

Bado ila nina mpenzi ambaye niko tayari kwake kwa hilo.
So yeah, I’m taken.
Weka akiba ya maneno Kuna watu walinyang'anywa wachumba.
Unaweza ukapelekwa kwenda kuishi Brunei.Ukasahau kabisa kama Kuna shida duniani.
By the way mchezo wa Leo utarudisha confidence ya timu.
 

leo tarehe 19.12.2023 Mnyama anashuka Dimbani kuzisaka alama tatu za kwanza za hatua ya makundi ya Wydada Casablanca.

Mechi hizi zitachezwa saa 10:00 jioni.

Nini maoni yako kuhusu mchezo huu?

Ungana nami katika uzi huu ambao nitakuletea kila kitakachojiri kabla na wakati wa mchezo.

View attachment 2847129
Kikosi cha Simba kilichoanza
View attachment 2847133
Kikosi cha Wydad kilichoanza

Mchezo umeanza kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar es Salaam

Ushindani ni mkali

Timu zote zinapeana zamu kushambulia

36' GOOOOOOOOOOOOOO
Willy Essomba Onana anaipatia Simba goli la kwanza

38' GOOOOOOOOOOOOOOOO
Onana anaipatia Simba goli la pili

Kipindi cha kwanza kimekamilia

MAPUMZIKO

Timu zinarejea kwa ajili ya kipindi cha pili

Mchezo umeanza

47' Kiungo wa Simba, Muzamiru anapata kadi ya njano kwa kucheza faulo
Mungu Ibariki SIMBA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wana upana gani magoli yote zaidi ya 30m,hao mabeki labda wana undugu na Unju.
Kwani mpigaji wa huo mpira aliyefunga ana upana gani kuweza kufanya idadi ya mabeki waliomzuia Ayoub aweze kuonekana?
 
Bocco anaingia

Israel Mwenda anaingia

Onana anatoka

Chama anatoka
 
Weka akiba ya maneno Kuna watu walinyang'anywa wachumba.
Unaweza ukapelekwa kwenda kuishi Brunei.Ukasahau kabisa kama Kuna shida duniani.
By the way mchezo wa Leo utarudisha confidence ya timu.
Sasa jamani mi nimesema kipi kibaya? Yani nikiwa na mpenzi ambaye namuona anafaa kuwa mume nisiseme nimechukuliwa tayari?

Kunyang’anywa mchumba kunategemea na mchumba mwenyewe ambaye sijioni namna hiyo.

Yes, ushindi ni motisha.
 
Ni sahihi kabisa Best...

Sasa hayo makitu yako yanakuwa sio utani tena...ni uchafu...

Merry Christmas in advance Bestie.
Christmas ni mipango ya maokoto kibiashara kwa wajanja duniani, huoni kwanini inshu kama hizo Wanaoweweseka nazo sana ni Ke na Watoto [emoji848][emoji28]
 
Back
Top Bottom