Naona live score yangu iko mbio kuliko live match azam tvKwenye redio
Kuwa na heshima mkuu, kuna utani ila sio huu.Magoli kama hayo anafungwa Diarra sio Ayoub Lakred
Kuna Makolokolo mmoja jana alituambia tusiwe na wasiwasi sisi MBUMBUMBU, Simba wameroga hadi kuchinja mapaka meusi uwanjani [emoji847]