ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Nianzie Kwa kucheka ,hivi Simba atamfunga nani Kwa staili anayocheza?
leo tarehe 19.12.2023 Mnyama anashuka Dimbani kuzisaka alama tatu za kwanza za hatua ya makundi ya Wydada Casablanca.
Mechi hizi zitachezwa saa 10:00 jioni.
Nini maoni yako kuhusu mchezo huu?
Ungana nami katika uzi huu ambao nitakuletea kila kitakachojiri kabla na wakati wa mchezo.
View attachment 2847129
Kikosi cha Simba kilichoanza
View attachment 2847133
Kikosi cha Wydad kilichoanza