FT: Simba 2-0 Wydad | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 19.12.2023

FT: Simba 2-0 Wydad | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 19.12.2023

Mpaka Sasa Tuko Vizuri.
Timu ina onana vizuri?

Tuna matumaini makubwa
 
Nyie Makolo semeni wenyewe mapema, hii mechi mkifungwa itakuwaje?

Maana nyie ndio mabingwa wa hesabu za makundi, nyie ndio mnajua kucheza mechi za makundi CAFCL [emoji1787][emoji1787]
Ahsante kwa kututakiwa mema kwenye mechi hii muhimu
 
Chonde chonde "wananchi" tufaeni la jua leo na sisi tutawafaa la mvua kesho!! Kwa pamoja tumshangilie "mnyama" nguvu moja mwanzo mwisho!! Na sisi tutawashangilia "wananchi" kesho mwanzo mwisho!! Mkikataa kuna mmoja anawaona na kesho msitulaumu!!
KILA MTU AFE KIVYAKE
 
Mzamiru

Kazi na umri, mwili unamgomea, simba inahitaji namba 8 mnyumbulifu, Middle kisheti, Middle yenye comanding power, mzamiru pass accuracy mtihani na bado ni mzito.
 
Hii screen ya matangazo ya digitali kwanini kwenye mechi hizi za caf hawaziwashi
 
Back
Top Bottom