FT: Simba 2-0 Wydad | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 19.12.2023

FT: Simba 2-0 Wydad | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 19.12.2023

Attachments

  • 1702989348960.jpg
    1702989348960.jpg
    544 KB · Views: 1
Uwanja hauna watu
Nilishawahi kumwambia Ahmed kuwa unasumbua watu mtaan na matarumbeta. The best marketing ni timu ifanye vema

Hayo makelele yako mtaàni sio investment. Tumieni nguvu nyingi to invest in players sio social media

Mashabiki wamesusa Leo
 
Mzee game inachezwa hapa Dar halafu uingalie kwenye Azam Sports?
seriously?
Wewe ni mnyama?
Twende Uwanjani bana
Sio kila mtu anauweza uwanja mkuu na sio kila mtu yupo dar..... Kumbuka mwezi
 
Back
Top Bottom