Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha zimzidiAyub sifa zinamzid sasa
Kweli chizi huwa haponiHii Wydad ya msimu huu hamna kitu. Ni kama Mtibwa Sugar tu. Ingepangwa kundi moja na timu kali kabisa kama Yanga, aisee ingefungwa goki 10.
Kadi zake za njano zote kazipatia kwa mazingira haya hayaAyubu anapenda kupoteza muda
mwenda na baleke.Waydad wapuuz... Mpaka mnaingiziwa mwenda... Nimewaona hamna maaaan
Waongee nae atatuponza sikuKadi zake za njano zote kazipatia kwa mazingira haya haya
Nitoe kwny upuuzi...Tafadhali sana wadada wa bongo muvi na fleva msije muharibu kipa wetu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tafadhali sana wadada wa bongo muvi na fleva msije muharibu kipa wetu
Wataendelea kukaa mkiani hakuna namnaTunaimani wanywa supu mtakuwa mmepata kitu kiwasaidie na nyie hapo kesho walau mtoke huko mkiani
Lakini ni mbinu nzuri asiambiwe asche bali afundishwe ili aboresheWaongee nae atatuponza siku
"We Onana, umepigaje hapo"?Alipigapigaje pale
Ungana naoNaona Simba mmeamua kulipiza kisasi cha kifo cha mtanzania mwenzetu Joshua.
Asanteni sana Mmnyama mtani wetu.
Piga hayo Mahamasi
Sana,Jamani nimempenda mwalimu..anawatumia wachezaji wote..kweli Robetinyo alikua anatuchelewesha...
Wee Zombie..!!!!!yalaa yalaa simba na zombi wa mazombi