FT: Simba 2-0 Yanga | NBC PL | Benjamin Mkapa Stadium | 16.04.2023

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaan unanichukuliajeee??

Kitu naumiaga n Jesus kutoka City, yaan yule jamaa daah.

Wee huku city mie ni fan kindaki ndaki
Pep huwa hafagilii makunyanzi yaani mshikaji wake ni Gundogan tu wengine wakileta mashauzi uwa wanafunguliwa milango ya kutokea.
Nipangie basi hicho kikosi Cytzen lia lia πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Pep huwa hafagilii makunyanzi yaani mshikaji wake ni Gundogan tu wengine wakileta mashauzi uwa wanafunguliwa milango ya kutokea.
Nipangie basi hicho kikosi Cytzen lia lia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Niwacheeee leo niko buzzy na simba, citizen ntakupangia kikosi siku ya 2nd leg Ft Bayern quarter final
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…