Valentina
JF-Expert Member
- Oct 12, 2013
- 24,684
- 28,777
Kuna raha ya kumshinda mpinzani wako bwanaYaani Simba wakishinda Makele mengi sana kama hawaamini ila Yanga wangeshinda kungekuwa kimya maana wameshazoea ushindi.
Hebu tuache tufurahie
Mmelowa leo[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my vivo 1906 using JamiiForums mobile app