FT: Simba 2-0 Yanga | NBC PL | Benjamin Mkapa Stadium | 16.04.2023

Hamjui kama anataka ufalme na yeye,?,kiukweli saidoo kama jana asingekuwa na kazi kubwa ya kukaba na kupokonya mipira angetakiwa atoke tu,ila jana alikuwa na kazi kubwa sana yule mzee yule
Apunguzee uchoyo na ubinafsii,. Aipamnanie team kwanza.
 
Maumiv Maumivu yangu yalikua ni kuona hawa diarra juma, bangala ,moloko n.k tangu watue utopoloni awakuwai jua machungu ya kufungwa derby zaidi ya wao kufurahi finally imetimia na kibaya full mkoko wakapangwa na jezi nyeusi juu waaapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…