FT: Simba 2-0 Yanga | NBC PL | Benjamin Mkapa Stadium | 16.04.2023

FT: Simba 2-0 Yanga | NBC PL | Benjamin Mkapa Stadium | 16.04.2023

Na kwasababu wenye akili ni wawili basi kitendo cha kuzaliwa tu Tanzania tayari unakuwa mjinga

Except uwe Sunday Manara au Kikwete
Haji Manara amewaharibu akili mashabiki wenginwa simba. Tunamshukuru Walace Karia kwa kumfungia huyu mtu kwenye klabu yetu.

Maana kuna uwezekano mkubwa kama angeendelea kuhudumu kwenye klabu yetu, baadhi ya mashabiki wa Yanga nao wangekuwa kama nyinyi. Yaani akisema tu kitu, hata kama ni pumba! Basi mnakichukua kama kilivyo, na kukileta humu jukwaani, kuja kumtukuza.
 
Sasa kwa kulijua hilo mbona mlikuwa mnamsapoti kupinga hukumu aliyopewa?

Umesahau mlitoa na press release?
 
"Yanajurikana"

Hizi PhD hizi ni zakuwa nazo makini sana

BTW Tulipita kwenye mlango rasmi, ishu ya kulinda uwanja haikuhusisha ulinzi kwenye maswala ya kishirikina
Msamehe bure maana ni moja kati ya zile za akina Babu Taletale na Musukuma! Hata Maulid Kitenge naye ni daktari anaitwa Dr. Chumvi (PhD)!
 
Ukiona mpaka kanji amekukataa ujue unakufa kwa vyovyote vile
Screenshot_20230416-003352.jpg
 
Kumekuchaaaa Makiwendo hatimaye siku imefika.... natabiri Yanga kushinda na nitakesha hapa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mtani!!!!!!
Leo sijui itakuwaje?
Mioyo haitulii leo...
 
Back
Top Bottom