FT: Simba 2-0 Yanga | NBC PL | Benjamin Mkapa Stadium | 16.04.2023

Uwanja umejaa maji huko! Game itabidi iahirishwe Yanga wafurahi

Yanga watamsingizia Mama Kijazi wa TMA
Hakuna kuhairisha game hadi iishe Yanga wanashinda Simba ndio wanabidi wafurahie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…