Carleen
JF-Expert Member
- Nov 6, 2018
- 7,982
- 27,272
Saka atakuwa anajilaumu sana huko aliko..!!Arsenal wajinga baada watafute ushindi wanaleta mbwembwe hadi magoli yote yamerudi na kuna boya wamempa apige penalty katoa nje
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Saka atakuwa anajilaumu sana huko aliko..!!Arsenal wajinga baada watafute ushindi wanaleta mbwembwe hadi magoli yote yamerudi na kuna boya wamempa apige penalty katoa nje
Ila kusikilia mpira kwa radio ni kazi sana
Too much pressure 😂😂🚮
Haina uhusiano na mechi ya leo..Dstv na ligi kuu
Arudi changing room akalieSaka atakuwa anajilaumu sana huko aliko..!!
Haha! Nitafanya hivyo, maana doh!Usimsikilize mtangazaji akisema goooal...bali sikiliza background noise ya mashabiki
Ukisikia shangwe ujue ni goal kweli...
Yanga watamsingizia Mama Kijazi wa TMABaleke yeye na kipa mpira unagonga nguzo
Sio kuswazisha tu ni comeback hamtoisahauHuu ujinga hautaisha hivi karibuni, uto watasawazisha na kuongeza.
Aseeee kuna kitu pale golini
Hakuna kuhairisha game hadi iishe Yanga wanashinda Simba ndio wanabidi wafurahieUwanja umejaa maji huko! Game itabidi iahirishwe Yanga wafurahi
Yanga watamsingizia Mama Kijazi wa TMA
Wamesharudi...Mwenye link nani tutazame maana Azam wamezingua