Introsagvert
JF-Expert Member
- Sep 9, 2019
- 1,459
- 3,020
Na vyura wameshindwa kuogelea 😂Ila uwanja una maji
Na wote tunachezea kwenye majiIla uwanja una maji
Ila huwa kuna kitu kinaitwa counter attack, inabidi unafukuza mwizi huku mlango wako ukiwa salama, wengine wasije wakaiba mara ya piliHawa Simba wameshapoteana sasa hivi utasikia pweeeeh!
NakubaliUmri
Simba Wana kocha aisee ila sio kesi ni kupambana ila Robert ni kocha aiseeMimi ni Yanga ila Hapa leo kuna "baby football" na "mature football". Haka kabrazil wanakadharau tu ila toka nione Viper anamnyanyasa Yanga nikajua hata leo kuna shida. Technically yupo vizuri na leo kuna weza kuwa na mkono wa nyani hapa. Jamaa wanacheza "straight and mature football" ukiachana na hao akina Mayele wanaopata nafasi na kona zaidi ya 8 lakini hazina matokeo chanya.
wamejishikilia kwanza [emoji1787][emoji1787]Mbona uzi umesimama ghafla
Tunarekebisha mitambo ili tupale la3 na la4Simba kiungo kimepotea
Kawaida sana usiogope.Daah hii faulo jamani