FT: Simba 2-0 Yanga | NBC PL | Benjamin Mkapa Stadium | 16.04.2023

Simba wameanza kukosa utulivu
Ni saikolojia ya mpira wa ushindani hasa kwa timu zinazolingana lingana hivi. Ukitangulia kwa mabao kama haya mawili, utaona uoga kwenda mbele na utaamua kuzuia. Meanwhile aliye nyuma kwa mabao kama haya mawili atajitoa sadaka yaani atafanya sacrifice, atashambulia kama vile hana cha kupoteza. Kuna faida na hasara zake, ila kitakachoamua ni utumiaji wa nafasi zinazopatikana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…