Ana Utulivu Mkubwa sana sana...Huyu golikipa Ally salim tayari keshamnyang'anya namba Manula,kikubwa ajikinge na misumari.
Hahahahaua nitacheka wiki nzimaaa
Nataka niisikie ile kauli yao:-Utopolo Leo mtasema yoteeee ila mmefungwaaa[emoji16][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji57][emoji57][emoji57]
[emoji8] Simba rahaaa bestMwasimba mremboooo[emoji177][emoji177][emoji177][emoji8]
Kama sefuli [emoji23][emoji1544][emoji1550]Simba hii Ni tamu kuliko tendo la ndoa [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Nani alikuambia hawakuwa na furaha? Mechi nyingi za Simba na Yanga katika ligi zimeisha kwa sare. Sijajua mara ya mwisho walifungana liniSimba nao wanastahili furaha, huyu Mungu ni wetu zote.