Hahahaa! Kabisa yaani Mtani.Hakika mtani, hili nalo limepita ni historia tu kwa sasa
πHongereni sana watani. Pia Kalpana popote ulipo, ile screenshot niliyotake juzi kati, naifuta rasmi. Hongera kwa ushindi
Mengi yapiNaaaaam wanachiiiiiiiiiiiiiiiiiii tulieni kuna mengi....
[emoji172][emoji169]
Katukana? Kashindwa kuvumilia?Mtoto kalilia wembe. Mods wamempa
Salama Beshte...BBeshte nakusalimia nilikwambia tukutane saa moja ndo kama hivi yanii
Kunywa paracetamolYanga points 68
Simba points 63
MAKOLO msijisahau kua msimu huu hatapata kombe lolote za hili la Leo [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji172][emoji169]
Sanaaa yani humu ndani kwangu hata njaa hatusikiiSalama Beshte...
Hizi raha zitaenda Wiki nzima...
Nyieeee...
Ila mmepooza sana, mnajua kabisa kombe ni la wenye mpira wao watoto wa town.Mtani wangu Bantu Lady si umeona mwenyewe khamsa ilikuwa wazi wazi
Hii mechi itaisha draw
Mnakuwa wageni wa mechi ya simba na yanga
Game itaishia draw tu
Ova
Sio mmekandwa.Mmekamuliwa mavi baada ya kujitapa sana.Mzungu pori alionekana chooni anacheka.Nilivyoona Arsenal katoa sare nikajua na Yanga tutakandwa
Babu shikamoo πππΈπΈπΈπ¦π¦π¦Hongereni, leo zamu yenu baada ya miaka mitatu.
Kashindwa kudaka fataki la kibu denis
Arsenal na Utopolo wapi na wapi...Nilivyoona Arsenal katoa sare nikajua na Yanga tutakandwa
Hizi kelele na Vuvuzela Mtaani kwangu sijui kama nitalala...Sanaaa yani humu ndani kwangu hata njaa hatusikii