FT: Simba 2-0 Yanga | NBC PL | Benjamin Mkapa Stadium | 16.04.2023

FT: Simba 2-0 Yanga | NBC PL | Benjamin Mkapa Stadium | 16.04.2023

Huyu RAMADHAN NGODA ni SIMBA huyuuu si mnamuona anavyotabasamu na maneno yake ya kinafki nafki
 
Na nyie Rivers wanawasubiria kwa hamu wawapigeni staili pendwa ya nje ndani
Ukifuatilia post zangu tangu juzi nimeweka wazi Simba na Yanga wasimalize nguvu zao kwenye mechi hii kuna mechi ngumu za kiushindani zinawasubiri, Mara nyingi mechi hizo haziamuliwi kwa mauzauza Bali kwa quality za timu.

Mimi hamu Yangu ni kuona Yanga inaingia nusu fainali, mpaka sasa sina cha kuwadai wachezaji wetu, wametupa good time sana.
 
Thimba ni andadogi,alisikika albino mmoja mvuta bangi
1660262109234.jpg
 
Back
Top Bottom