JOSEPH MBEDEGALO
New Member
- Feb 10, 2019
- 2
- 0
Unautani asse
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole dear hakuna namnaTunawarudisha wachezaji wetu Jangwani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuna wana Yanga mnategea kusukuma [emoji2296]View attachment 2590164
Nikupe Pole Kipenzi...Muone bichwa lako [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hatujinyongi wala hatunywi sumu...
Tumewaonea huruma leo, since 2019 hamjatufunga...
Bwana alitwaa bwana alitoa jina lake lihimidiwe😂🤣🤣 nikapumzike sasa
Mtani wangu, nilikwambia mapema andaa viatu visafi ulale navyo. Ona sasa umekosa Lunch.BIla shaka huo uzi ndo umesababisha ajiite Chama Baleke. 😂😂
Kwa iyo Yanga na kikosi kipana wameshindwa hata kufunga goli mpya!Bahati yake ni kwa timu dhaifu, kama ameshindwa kufunga leo na Yanga haikuwa na siku nzuri basi hapo hamna kitu.
Chura katika ubora wake rangi ua kijani imekolea
🤣🤣🤣🤣😂😂Mke wangu nenda kachepuke tu siyo kwa raha hzo za simba [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Simba mkiotea mna maneno nyie [emoji51]Ohooooo sisi timu kubwa sijui sisi wananchi sijuii tuna aziza domo sijui dada mayele ....sasa v8dume tumeonyesha dunia kua nyinyi kazi yenu ni kutoa mwiko huko kalioni
Hongera mtani 🙌🤝Ushindi wa kwanza baada ya miaka minne...wana simba tembeeni kifua mbereeeee ( kwa sauti ya jiwe )
View attachment 2590168
Tena wenye cleansheet.Ushindi wa kwanza baada ya miaka minne...wana simba tembeeni kifua mbereeeee ( kwa sauti ya jiwe )
View attachment 2590168
Yanga points 68SIMBA juuuuu
Tofauti ya CAF champions na federation imeonekana!Mimi nitaongea kesho