FT: Simba 2-0 Yanga | NBC PL | Benjamin Mkapa Stadium | 16.04.2023

FT: Simba 2-0 Yanga | NBC PL | Benjamin Mkapa Stadium | 16.04.2023

Tunawarudisha wachezaji wetu Jangwani πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kuna wana Yanga mnategea kusukuma πŸ™†β€β™€οΈ
20230416_174121.jpg
 
Muone bichwa lako πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hatujinyongi wala hatunywi sumu...
Tumewaonea huruma leo, since 2019 hamjatufunga...
Nasikia huko bongo dar es salaam watu ni vigelegele.. nderemo...na vifijo....πŸ₯‚πŸ₯‚
🦁🦁🦁

πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡Ώ

Wasalaam
Kwa Sasa
+267
 
Back
Top Bottom