Hahahaaa! Lol.Ila mmepooza sana, mnajua kabisa kombe ni la wenye mpira wao watoto wa town.
Ha ha haMkuu!!!tupo sawa?
Mkuu mimi ni ndugu yako usinishambulie.Vipi bado unazungumzia utulivu.?
Kijana punguzeni kukariri, Simba ni mkubwa kwa Yanga hata siku mkishinda mjue tu ni suala la game .
Mnaongea snaa . Mnapopita kwa sasa sisi tumeshapita
Azzam walikufunga goli Sekunde ya ngapi?Yani jamani dkk 1?? Hajawahi tokea...
Inonga tunakupenda wana Simba
Beki imara na mfungaji pia
Nawahurumia hawa mbwigaπππhihihiiiiiiii πΈπΈπΈπ¦π¦π¦
View attachment 2590194
Barikiwa kwa uungwana wako.Hongereni watani, muwe na jioni njema... No matter what Yanga daima ππ nilikuwepo βView attachment 2590195
Ngoja tufunge weekend kwa kula vyombo kwanza...Yanga Imefutulishwa Leo Mapema Ingoje Mwandamo Wa Mwezi
Hizo ni shida zenu hazituhusuHahahaaa! Lol.
Ndo unataka kusema wameshinda huku hawana furaha. Teh πππ
Kumbe nawe msimbaziMUNGU NAKUSHUKURU SANAAA LEO NITALALA