Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaa! Lol.Ila mmepooza sana, mnajua kabisa kombe ni la wenye mpira wao watoto wa town.
Ha ha haMkuu!!!tupo sawa?
Mkuu mimi ni ndugu yako usinishambulie.Vipi bado unazungumzia utulivu.?
Kijana punguzeni kukariri, Simba ni mkubwa kwa Yanga hata siku mkishinda mjue tu ni suala la game .
Mnaongea snaa . Mnapopita kwa sasa sisi tumeshapita
Azzam walikufunga goli Sekunde ya ngapi?Yani jamani dkk 1?? Hajawahi tokea...
Inonga tunakupenda wana Simba
Beki imara na mfungaji pia
Nawahurumia hawa mbwiga😂😂😂hihihiiiiiiii 🐸🐸🐸💦💦💦
View attachment 2590194
Barikiwa kwa uungwana wako.Hongereni watani, muwe na jioni njema... No matter what Yanga daima 💚💛 nilikuwepo ✌View attachment 2590195
Ngoja tufunge weekend kwa kula vyombo kwanza...Yanga Imefutulishwa Leo Mapema Ingoje Mwandamo Wa Mwezi
Hizo ni shida zenu hazituhusuHahahaaa! Lol.
Ndo unataka kusema wameshinda huku hawana furaha. Teh 😂😂😂
Kumbe nawe msimbaziMUNGU NAKUSHUKURU SANAAA LEO NITALALA