FT: Simba 2-0 Yanga | NBC PL | Benjamin Mkapa Stadium | 16.04.2023

Maiti inasemekana ametoa vipande viwili vya mavi baada ya kukamuliwa vilivyo.Vyura vya Kihansi vimebebwa na mafuriko.
Hata kama ni furaha siyo hivi, na kama ni utani pia siyo hivi, tumia lugha za watu waliostaarabika.
 
Tusha kamuaa maiti [emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23]
 
Kitu ambacho ni ngumu sana kuikwepa, aongee vizuri na wazee wake.

Shida ya madogo wengi wakisifiwa huwa wanavimba vichwa, rejea Manyika Jr alivyojaa kiburi baada ya kusifiwa game moja ya derby.
Dogo alichanganya mpira na mapenzi kale kademu kake kamanga naimaa kaliharibu kipaji
 
Dar Yanga "AFIRIKA", ni wepesi kushida unyoya wa ndege aina ya kwelea kwelea!! .
Vijana hao ya ni YANGA "AFIRIKA" Leo tarehe ................. Wamekiona kilichomtoa kanga manyoya...pale Lupasu
 
Thanx rafiki yangu...kwakweli nilikua namaono ya juu mnoo kwamba tutafunga hii mechi...nina furaha sana
Hizi derby, underdog ndio huwa anaibuka mshindi. Wik end safi sana kwako πŸ˜…πŸ˜…
 
Yanga points 68
Simba points 63

MAKOLO msijisahau kua msimu huu hatapata kombe lolote za hili la Leo [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji172][emoji169]
Hili la point linajulikana kabla ya bao 2.
 
MDAKA MISHALE KILA MECHI ANASHONWA[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…