Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sisi ni Simba kumfunga Yanga dkk ya 1 so hizo za Azam wapelekee Azam babuAzzam walikufunga goli Sekunde ya ngapi?
Hata kama ni furaha siyo hivi, na kama ni utani pia siyo hivi, tumia lugha za watu waliostaarabika.Maiti inasemekana ametoa vipande viwili vya mavi baada ya kukamuliwa vilivyo.Vyura vya Kihansi vimebebwa na mafuriko.
Kibu anawasikiaga hapa wakimnanga.KawanyooshaKinachosikitisha hivi Diara ni wakufungwa na Kibu???
Lakini bikra chakariiiiHata tukifungwa bado tunaendelea kuongoza ligi
Sio swali mkuu..humu najulikanaKumbe nawe msimbazi
Shukran Mtani. 🙏🙏Pole sana mtani, ulitukaba kooni miaka mingi
Imeraruriwa na makucha ya SimbaLakini bikra chakariiii
Yeah ni kweli ile hali ya upambanaji itakuwa imekaa sawa sasaShukran Mtani. 🙏🙏
Kabisa yaani Mtani na mlishaanza kujikatia tamaa hivyo walau baada ya leo tunaanza tena upya.
Dogo alichanganya mpira na mapenzi kale kademu kake kamanga naimaa kaliharibu kipajiKitu ambacho ni ngumu sana kuikwepa, aongee vizuri na wazee wake.
Shida ya madogo wengi wakisifiwa huwa wanavimba vichwa, rejea Manyika Jr alivyojaa kiburi baada ya kusifiwa game moja ya derby.
Hizi derby, underdog ndio huwa anaibuka mshindi. Wik end safi sana kwako 😅😅Thanx rafiki yangu...kwakweli nilikua namaono ya juu mnoo kwamba tutafunga hii mechi...nina furaha sana
Haya hongera, leo towa yote.Sisi ni Simba kumfunga Yanga dkk ya 1 so hizo za Azam wapelekee Azam babu
Hili la point linajulikana kabla ya bao 2.Yanga points 68
Simba points 63
MAKOLO msijisahau kua msimu huu hatapata kombe lolote za hili la Leo [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji172][emoji169]