FT: Simba 2-0 Yanga | NBC PL | Benjamin Mkapa Stadium | 16.04.2023

Yanga kuna weakness mahala, haiwezekani, kuna hujuma ndani kwa ndani, kikao cha dharura haraka sana, hujuma zote ziangaliwe, kama kuna mchezaji au wachezaji wamehongwa au referee au hujuma yoyote lazima uongozi iangalie upya haraka
Yanga kiungo kilitepeta,halafu tuliingia Kwa kujiamini
 
Hii game tushapoteza sioni sababu ya kuwaza sana, mawazo yawekwe kwenye kombe la shirikisho na kuchukua NBC premier league tu!!
 
Kwikwikwikwiiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ