Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uto kwani unawaonaje usiwawekee dhamanaHaha! Kwamba vinaweza kujirudia
Aiiiii 😂😂❤️❤️😂😂😂
Mgonjwa has been taken good care of Lil Sis,
Huko aliko atakuwa anatabasamu kwanza mwanaSimba wangu..!!
Ya aseno hiyoNaona hapa livescore 2 - 2
Wanaweka sawa mitamboNo signal
Ya aseno hiyo
Hahahahaha ila Azam kumbe ni Yanga😂😂😂😂
Nipo banda umiza wanasema wawekewe hata radio..!!
😂😂😂😂🙌Haf Kuna mtu atasema huu mpira hauna Uchawi [emoji23][emoji23]
Wachezaji wa yanga kama viatu vina mawe *****
Kwa hyo tumlaumu nani sasa ???Azam hawana kosa kaka...
Mawimbi ya TV kwa mtindo wa satelaiti huathiriwa na uwepo wa mawingu ya mvua...
🤣🤣🤣Mbn kama tupo banda moja[emoji2][emoji2]
Naomba muongozo, sina experience ya kuangalia online. Azam wamekata mitamboTumia Azam max mkuu. Kwani uko wapi?