bandeko andeko
JF-Expert Member
- Oct 20, 2021
- 1,080
- 2,143
Naona kama unaenda kutimia, Simba Nguvu Moja.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona kama unaenda kutimia, Simba Nguvu Moja.
Usinikumbushe game ya Madrid, nilikaa jirani na wana wanasaga kunguni kinoma, kidogo nilie..!😂😂Tulia 😂😂 Game na Madrid ilikuwa kali sana
Ila vya jana wai ni 🚮
Goal lingine huko nimesikia keleleSaka atakuwa anajilaumu sana huko aliko..!!
Uwanja umejaa maji huko! Game itabidi iahirishwe Yanga wafurahi
Yanga watamsingizia Mama Kijazi wa TMA