Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Offside kakaKazi imeishaaaaa
MmeanzaHuyu refa kadi kwa wachezaji wa Simba wanaocheza rafu mbona hatoi kadi? Aisee
BahashaHutu kibendera nina mashaka naye
Unasali kwa Mwamposa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Subiri mpira uishe ndo uandike udwanzi wako
Ndio zile Mil 300?Dah! Leo naona watu wamekataa kununuliwa!! Siyo kwa kutukazia huku. Wachezaji wetu leo wanacheza kama Ihefu Fc.
kamanda wangu vipi? unashabikia mpira? nani kafungwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapa leo hatuchomoi aisee. Wachezaji bado hawaoneshi kabisa kama wako nyuma kwa goli 2-0!Mpira bado mkuu usiwaze