Carleen
JF-Expert Member
- Nov 6, 2018
- 7,982
- 27,272
😂😂😂😂
Wafanye yote ila waniachie watoto wa 'ex jersey nambari 10 mgongoni', Frank James Lampard..!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂😂
Ndio refa yangaRefa anawatafutia goli yanga si bure
Duuh jamani, mpira uishe sasa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]dk 87
2-0
Wenye wivu wajinyonge by Saida kaloriHalafu nyinyi JF kwanini hiyo 😍 nzuri mmeweka maandishi mekundu? 😂😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂Uwii apone fasta aje ashuhudie, mimi kukusemelea siwezi. Kwanza njia ya kufika alipo siijui 😂😂
Tunazika au tunachoma?
dakika ya ngapi sasaTunge hesabu la tatu!
Wanaenda wapi tena watulie [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wananchi wanaanza kuondoka taratibu hapa uwanjani
Wananchi wanaanza kuondoka taratibu hapa uwanjani