Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunatupa dampo la cityTunazika au tunachoma?
Wanawahi kutoa maji jangwaniWananchi wanaanza kuondoka taratibu hapa uwanjani
Kama sio kipa namba TatuHuyu dogo Ally ni nyanda
...alisikika chura mmoja akikoroma kwenye dimbwiHata tukifungwa bado tunaendelea kuongoza ligi
Mwasimba mremboooo[emoji177][emoji177][emoji177][emoji8]Kaka yangu mpaka wewe umekubali [emoji23]
Muone bichwa lako 😂😂😂😂😂😂Wenye wivu wajinyonge by Saida kalori
🤣🤣🤣😂😂😂🤣🤣🤓🤓
Mechi ya watani huwa inaamuliwa kwa factor nyingi sana siyo ubora peke yake.Kufungwa au kutofungwa katika mechi ya Yanga hakuwezi kukawa kigezo cha kuamua ubora