FT: Simba 2-0 Yanga | NBC PL | Benjamin Mkapa Stadium | 16.04.2023

FT: Simba 2-0 Yanga | NBC PL | Benjamin Mkapa Stadium | 16.04.2023

Ukizoom huo mbinuko wa Diarra unaona maini na figo. Huyu Kibu D amefanya kosa sana kumdhalilisha.
 
Dah! Hali ni tete kwa wananchi! Tukipata hata sare tu ni jambo la kushukuru. Wachezaji wa Yanga wamekuwa ni wazito mpaka basi.

I wish Ibrahim Bacca na viungo wengine wakapewa tu nafasi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] letaa manenoooo, letaaa manenooooo, yaan wee na badooooo utaliaa sanaaa.
 
Back
Top Bottom