FT: Simba 2 Geita Gold 1 NBC Premier League

FT: Simba 2 Geita Gold 1 NBC Premier League

Freekick simba tunapata eneo la karibu kabisa hapa
 
Daah. Point 3 lakini kocha asirudie kosa la leo
 
Hakuna faulo pale Kapombe ni mchezaji mbovu tu now. Tuseme ukweli tu
 
Basi tufanye hilo moja wamebebwa Simba tusilihesabu lakini si bado walikuwa wanaongoza 2? Tofauti na utopwenga wasingebebwa kule Lindi dhidi ya Namungo tungekuwa tunaongea nini leo?
 
Wale wanyakyusa wangecheza hivi kama geita, utopolo walikuwa wanakufa
 
  • Thanks
Reactions: 7ve
Back
Top Bottom