FT: Simba 2 Geita Gold 1 NBC Premier League

FT: Simba 2 Geita Gold 1 NBC Premier League

Ndo na nyie mjua vile Namungo waliumiaaaa hahhaahaa
 
watoto wadogo wanaivimbia simba wanacheza kwa kukamia ili kila mmoja aonekane na benchi la simba kwa tumaini la kuwa watasajiliwa dirisha dogo
 
watoto wadogo wanaivimbia simba wanacheza kwa kukamia ili kila mmoja aonekane na benchi la simba kwa tumaini la kuwa watasajiliwa dirisha dogo
Hawajakamia
Simba wachezaji wanacheza ujinga
Leo onyango, huyo nyoni, gadiel, bocco , leo walikua wanakamilisha namba tu
katikati pale mkude na mzamiru bado mipira inapita
 
Refa hajafanya kwa makusudi ni makisa tu ya kibinadamu
Mkuu kama hautojali naomba tupashe kilichotokea refa kafanyaje? Maana kila mmoja humu hata akiwa mwana msimbazi analalamika kuwa Geita wameonewa lakini hawasemi nini kilichotokea. Kipindi cha pili nilifuatilia updates za humu jukwaani kwavile nilipata dharura sikuweza kuendelea kuangalia mechi kipindi cha pili.
 
Simba na Yanga

this is too much,japo ndo timu tunazozishabikia lkn mbeleko zingine zimezidi mpk AIBU,hii ina discourage washiriki wengine wa ligi

KUNA MDA MASHABIKI TUACHE UNAZI TUKEMEE HIZO NONSENSE

Namungo wangeifunga Yanga wala isingekuwa kubwa kuliko Yanga pia Geita Gold wangekubaliwa goli lao la kusawazisha wasingekuwa ndo wakubwa kuliko Simba abadan

KAMA KUNA MIKONO YA WATU KWENYE HAYA MAMBO BASI NAWATUKANIA MAMA ZAO NA KAMA NI MAKOSA YA KIBINADAMU YA MAREFA BASI SIKU MOJA WAPIGWE ILI WAZIDISHE UMAKINI KWENYE KAZI
 
Back
Top Bottom