Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Saizi tufokasi kushangilia point tatuNi Goli refa katubeba.
Wazi kabisa
Sijapenda hii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Saizi tufokasi kushangilia point tatuNi Goli refa katubeba.
Wazi kabisa
Sijapenda hii
HII TIMU IKITUFUNGA TAR 11 MIMI NIUWAWEEEE..!!
mi ntavaa kama Anko Hamza nikakinukishe Ikulu MagogoniHII TIMU IKITUFUNGA TAR 11 MIMI NIUWAWEEEE..!!
Refa hajafanya kwa makusudi ni makisa tu ya kibinadamuTumebebwa aisee refa wa mchongo huyu.
Wewe Sio SimbaTumebebwa aisee refa wa mchongo huyu.
Hawajakamiawatoto wadogo wanaivimbia simba wanacheza kwa kukamia ili kila mmoja aonekane na benchi la simba kwa tumaini la kuwa watasajiliwa dirisha dogo
Mkuu kama hautojali naomba tupashe kilichotokea refa kafanyaje? Maana kila mmoja humu hata akiwa mwana msimbazi analalamika kuwa Geita wameonewa lakini hawasemi nini kilichotokea. Kipindi cha pili nilifuatilia updates za humu jukwaani kwavile nilipata dharura sikuweza kuendelea kuangalia mechi kipindi cha pili.Refa hajafanya kwa makusudi ni makisa tu ya kibinadamu
Sielewi kwa vipi hawa makocha wote watatu wanashindwa kujua kama Kapombe na Boko sio First 11 tena. Israh Mwenda ndio habari ya mjini now.Tumebebwa mibeki inacheza kifala hasa kapombe
Sijakataa ila kwa mustakabali mzuri wa afya yangu, acha iwe hivyo tuSimba haikuhitaji wewe uangalie mechi ili ipate ushindi