Sema uchangiwe mkia! Umetoka jasho sana kushabikia timu yenu ya mchongoAloo mpira ungeisha tu, kwanza giza afu ukizingatia mi nakaa mbali
Aise umejua kunichekesha dahAloo mpira ungeisha tu, kwanza giza afu ukizingatia mi nakaa mbali
Simba wabovu Ila uto ni wabovu zaidiKwa kweli Kolo ni wabovu, kwa mpira huu tumuachie Mungu
Mmmh hilo sio swala la kushangaa sana kwenye ligi yetu.Huenda kuna team ambazo bado hazijapewa mbeleko, lakini sip Simba na Yanga.Mbeleko boss
Labda kama sio ile uto iliyocheza na NAMUNGO.Eti Hii Timu Ndo Ije Itufunge Sisi Tarehe 11 [emoji23]
Nikiku-mark ile siku ya Yanga akicheza na NAMUNGO, kauli zako hazikuwa sawa na hizi unazotoa leo.Huu sio haki ni upumbavu. Ndomaana soka la Tanzania linazidi kuwa la hovyo.
Kivipi mkuu? Mimi ni simba damu damuNikiku-mark ile siku ya Yanga akicheza na NAMUNGO, kauli zako hazikuwa sawa na hizi unazotoa leo.
Tumebebwa aisee refa wa mchongo huyu.Akina Nan[emoji849][emoji849][emoji849]