FT: Simba 2 Geita Gold 1 NBC Premier League

FT: Simba 2 Geita Gold 1 NBC Premier League

Yanga Kama dereva wa bodaboda halipwi mpaka apumuliwe kisogoni.
 
Sio haba geita nao kwa nafasi yao wanashambulia ila ndio hivyo wamekutana na kiangazi
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Ilikua hatari lakini walinzi wa simba wamekaa vizuri
 
Madogo wanapeleka mashambulizi lakini simba inasimama imara kwenye ulinzi
 
Back
Top Bottom