FT: Simba 2 Geita Gold 1 NBC Premier League

FT: Simba 2 Geita Gold 1 NBC Premier League

Statistics zikija kuonesha simba ka posses mpira kwa asilimia nyingi kuliko geita ntajua kuwa hapo tumepewa sifa ambayo hatuja stahili
 
Yani mipira inapotea kindeezi kabisa
 
Dakika 1 ya nyongeza kuelekea kumalizika kipindi cha kwanza

Mpira ni mapumziko
 
Hivi simba Leo Tunacheza Formation Gani?

Wataalamu nisaidieni….
 
Huyu Ndio Yule Ajibu aliyekuwa anakataa Kuongea na Vyombo vya Habari anakimbilia kwenye Crown?
 
Hawa Kolo akigongwa chini ya mbili na Yanga tar 11 nitasikitika sana
Utofauti wenu nyie na sisi ni pale msimu unapoanza wa ligi kila mmoja anakua na malengo yake anayo jiwekea

Wakati simba akiwa na malengo ya kuchukua ubingwa na kufika nusu fainali club bingwa nyinyi malengo yenu ni kumfunga simba

Haya na msimu huu mtamfunga simba ila kombe msahau kwasababu haikua kwenye mipango yenu, waliojipanga kuchukua kombe waliwekeza nguvu na akili zao huko
 
Back
Top Bottom