Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamekua kama misukuleMayele mnampaisha na hilo ameliona hata yeye na ndio maana hata jana alihamasisha mashabiki wamshangilie wakati mchezaji mwenzake akiokota mpira kwa ajili ya kona
Mbona mayere kiazi tu yuleMayele mnampaisha na hilo ameliona hata yeye na ndio maana hata jana alihamasisha mashabiki wamshangilie wakati mchezaji mwenzake akiokota mpira kwa ajili ya kona
Ndio mshambuliaji tegemeo wa Simba huyo.Naweza kusema kuwa umri umemtupa mkono BOCCO, mwili wake hauwezi tena kufanya kile ambacho nafsi yake inatamani.
Vp wengine hatuko TZ