FT: Simba 2 Geita Gold 1 NBC Premier League

FT: Simba 2 Geita Gold 1 NBC Premier League

Tumerejea tena kwenye kipindi cha pili tuone kama kuna mabadiliko
 
Naweza kusema kuwa umri umemtupa mkono BOCCO, mwili wake hauwezi tena kufanya kile ambacho nafsi yake inatamani.
 
Yani saivi geita hawapati mpira kwa kukaba bali wana pasiwa moja kwa moja
 
Back
Top Bottom