Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Tulia hivyo hivyoWachimba dhahabu nipigie hawa mbumbumbu..
Yaani atachanganyikiwa maana kila mchezaji simba ni wa kuigwa na timu zingine.leo mayele sijui atakuwa anamuangalia nani apate kujifunza
KwikwikwikwiKikosi cha leo Simba hazijafunga booster yani leo ni spika chache tuu. Booster 4 ziko nje
11' Simba 1-0 GeitaInasoma ngapi??
KwakwakwakwaaaaKwikwikwikwi
kila siku anapatikana mwalimu mpya,mayele ana pagawa hajui amfate naniMayele anataikiwa kujifunza kwa kibu
Simba ni tamu kama mainiSimba 1-0 Geita
Banda
KwekwekwekweeeeeKwakwakwakwaaaa
Ushuzi tu hiiSimba ni tamu kama maini
Geita sio timu ni kikundi cha wahuni tu. Hata washambulie vipi hawapati hata sare.... Nimewaomba Wana Yanga waache kufwatilia game kuwasapoti Geita ni kujipa presha bure!Madogo wanapeleka mashambulizi lakini simba inasimama imara kwenye ulinzi