[emoji23][emoji23][emoji23]Yah ni wachezaji wazuri ndo maana rafiki yake Zidane kocha wa Simba Pablo akachagua kufundisha Simba.
Muulizeni Chama kinachomtokea huko alipo hata benchi hakai ni mshangiliaji jukwaani.Haya sasa mzamiru kafanya maajabu haya kwa sekunde moja aliyiingia ya pili kafunga bao, nitashangaa guinnes book wasimuweke kwenye rekord zao
Anatia simanzi. Kagere apasheHuyo Bocco sasa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wewe Yanga hujui maana ya kusawazishaGeita wanasawazisha goli la kwanza
SanaGazeti limechafuka
Nyoni yupi?Banda anatoka anaingia nyoni
Clean sheet ya kazi gani? What matters ni point 3Regardless of the outcome hii inatosha [emoji1787][emoji3]
Mikia wanakosa cleansheet against Geita hapa