FT: Simba 2 Geita Gold 1 NBC Premier League

FT: Simba 2 Geita Gold 1 NBC Premier League

Piga mikiaaaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Haya sasa mzamiru kafanya maajabu haya kwa sekunde moja aliyiingia ya pili kafunga bao, nitashangaa guinnes book wasimuweke kwenye rekord zao
Muulizeni Chama kinachomtokea huko alipo hata benchi hakai ni mshangiliaji jukwaani.

You know what? Kwa sababu ametoka ligi ya mazuzu mnapandisha watu mabega wasipostahili, bora hata wale walemavu wetu wameenda world cup.
 
Regardless of the outcome hii inatosha [emoji1787][emoji3]

Mikia wanakosa cleansheet against Geita hapa
 
Back
Top Bottom