FT: Simba 2 Geita Gold 1 NBC Premier League

FT: Simba 2 Geita Gold 1 NBC Premier League

Vimbeni vimbeni vyura
Yani Suala La Kushinda Mechi Ya Tarehe 11 Sahau Kabisa Labda Mpate Sare Maana Mayele Atafumua Tena Pale Pale [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wanayanga wenzangu, tusipoteze muda. Hii game Simba anashinda kuanzia goli2..... Geita hakuna timu pale. Ni kikundi cha wahuni tu! Hata sare hawapati
 
Mayele Atafumua Tena Pale Pale Tarehe 11 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sisi Tunachukua Huu Ubingwa Na Hatutafungwa Na Simba Kama Unabisha Subiri Uone
Simba Ipi ya kutufunga sisi?? Yaani Kibu Denis na Babu Kagere ndio watufunge sisi??? Hawana akili Hawa. Wamfunge Geita ila kwetu imekula kwao
 
Tunaendelea kumpumulia uto kisogoni halafu tarehe 11 tjnachukua points zetu 3 muhimu tunaanza safari ya ubingwa rasmi.
Kwa hiyo mmeshaandaa vilainishi vya kupumuliwa kisogoni?
 
Mayelw atakuwa anachanganyikiwa amuige nani, kila mechi anaona mwalimu mpya
 
Saafi sana hii ndio kasi ambayo simba tumeizoea
 
Huyu kocha ndo anaonyesha maana halisi ya kikosi kipana cha Simba Sc, yani ni kama Man City pale England. Msimu huu rotation itafanyika vizuri.
 
Yani Suala La Kushinda Mechi Ya Tarehe 11 Sahau Kabisa Labda Mpate Sare Maana Mayele Atafumua Tena Pale Pale [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mhhhh mlijiaminishaga hivyi hivyo na mzee wenu mpil ila mlipoteana. Yani huyo mayele atasambaratishwa hutaamini. Endeleeni kujiaminisha tuje tuwape suprise
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Unaotaa?, Nyie Muifunge Yanga Hii??
Ina nini kipya kwani ni lini yanga amekosa kuongoza ligi kwenye misimu yote minne lakini ubingwa anachukua mnyama mkali kabisa.
 
Wanayanga wenzangu, tusipoteze muda. Hii game Simba anashindwa kuanzia goli2..... Geita hakuna timu pale. Ni kikundi cha wahuni tu! Hata sare hawapati
Wana Yanga nimeshawambia tuachane na huu uzi. Geita hawawezi kupata hata sare kwa simba . Zaidi watakufa kifo cha mbwakoko tu
 
Back
Top Bottom