FT: Simba 2 Geita Gold 1 NBC Premier League

FT: Simba 2 Geita Gold 1 NBC Premier League

Huyu Bocco kama mwanga vile. Kuingia Nyoni kwa kasi ya hawa madogo kumuingiza Nyoni sjui kama itasaidia
 
Jamani updates, wengine Makamba anaendelea kutufanyia ukenge huku
 
Kibu inaonekana kakimaa, yani kinachezewa rough na hakioati najeruhi
 
Back
Top Bottom