Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Ni makosa ya kibinadamu yanaweza kumkuta mtu yeyote tumsamehe refaMnazi wa makolo Leo ,mbebwa live bila chenga , ww msimu huu utapata presha wallah hahahaha maana c kwa unazi huu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni makosa ya kibinadamu yanaweza kumkuta mtu yeyote tumsamehe refaMnazi wa makolo Leo ,mbebwa live bila chenga , ww msimu huu utapata presha wallah hahahaha maana c kwa unazi huu
Tunaongea na wanaojua mpira kama wewe Mkuu. Kitendo alichofanya Kapombe ni uhuni na kwa kocha aliye serious anapaswa ampumzishe kabisa. Beki unaguswa mgongoni unaruka kama umechomwa kisu?Ukiupenda mpira kabla ya timu zetu, utakubali leo tumebebwa.
Anyway kapombe amekuwa mchezaji wa kawaida, Gadiel Michael sijui kwa nini kakaa humo hadi tamati.
Hajaguswa hata kwa uzi wa nguo au hata upepo. Utasemaje ni faulo.?Naona una halalisha mbeleko yako dhidi ya namungo kwa kutumia faulo ili ionekane halali
Mbona hata mazingira ya goli la leo unaweza uka apply sheria hiyo hiyo kwa kusema mchezaji aliyeanguka kabla ya goli kuingia alifanyiwa faulo na ika-make sense tu?
Kolo mama yakoHili kolo naona akili zinaanza kurudi,makolo wenzako bado wanaminyana
Mbona upande wa pili husemi kua ni makosa ya kibinadam , ulisema ni mbeleko na Leo ni mbeleko live bila chenga , huyu refa na yy lazima apewe adhabu c kwa ujinga huu wanaofanya uwanjaniNi makosa ya kibinadamu yanaweza kumkuta mtu yeyote tumsamehe refa
Mods tafadhar hatua zichukuliwe kolo limentukana apaKolo mama yako
Huwezi kuchezesha first eleven kila mechiSielewi kwa vipi hawa makocha wote watatu wanashindwa kujua kama Kapombe na Boko sio First 11 tena. Israh Mwenda ndio habari ya mjini now.
Matukio yote mawili hayana tofauti.Hii ni aibu kwa soka letu. Kwa issue ya yanga na Namungo unaweza singiziaa kua Feisal alichezewa faulo na ukaning'inia hapo. Hii ya kapombe watu wataning'inia wapi?
Mpira wa tz ni aibu sana. Aibu kubwa sana.
Urefa unasomwa. Hiyo ni tafsiri yako. Refa alikua eneo la tukio na alitafsiri alivyoona.Ni kwamba Geita Gold wamefunga, goli likakataliwa
Ilikua hivi, mchezaji wa Geita aliyefunga alikua nyuma ya Kapombe, Kapombe aliruka akaukosa mpira, ikabidi ajiangushe, Refa akatafsri amesukumwa ilihali hakusukumwa alijirusha tu mwenyewe na ubwege wake
Na mfungaji wala hakutumia nguvu kuruka, yaani ni aibu kukataa lile goli, ila ndio hivo tena!!!
😁🤣😁🤣Mods tafadhar hatua zichukuliwe kolo limentukana apa
Kwa yanga ipi unayoringia?Eti Hii Timu Ndo Ije Itufunge Sisi Tarehe 11 [emoji23]
Namungo na Yanga ilichezeshwa na Robot? Wenye akili tulisema marefa wa Tanzania hata wasipohongwa ni wabovu kwa asili, lakini kila ikitokea upande wa pili mnakimbilia hongo.Ni makosa ya kibinadamu yanaweza kumkuta mtu yeyote tumsamehe refa
Ndio cha muhimu haya mambo ya refa sijui hivi mara vile ni ukuda unaotufanya tutoke nje ya misingi ya utanzania kuwa wote sisi hapa ni ndugu kwa hiyo matokeo uwanjani yasitutie kwenye reliBora point 3 zimepatikana.
Upande upi?Simba upande wa kocha ni zero kabisa.
Mimi ni mnyama damu damu penye ukweli lazima niseme.Wewe Sio Simba
MmebebwaKama ilivyo ada, pira madrid
Leo anaenda kufa mtu nne kwa nunge
jana kuna errors zilikua zinafanyika pale sokoine na nilipojaribu kusema, mashabiki wengi wa yanga walinijia juu wakisema nateseka mara sijui naumia...Wewe ni shabiki mbovu miongoni mwa mashabiki wa Simba.