ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,170
- 7,665
Umepatia kabisa.Final-Azam vs Simba
Azam hatoboiiiiiUmepatia kabisa.
Nimemeza kama una mwingine pembeni nipostie nimezeFinal ni yanga na namungo
Hutaki meza wembe
Juzi tu hapa kwenye ligi tulimpasua akaenda kusema kwa anko mzee Bakhresa.Azam hatoboiiiii
Hatuna shughuli ndogo sisi [emoji23] [emoji23] .Mbona Uzi mapema hivi wakati yanga wanaanza saa kumi
Hujiamini unaogopa kipigoMbona Uzi mapema hivi wakati yanga wanaanza saa kumi
Sio kutoboa pekee, hadi mwiko nyuma kauchomoaAzam hatoboiiiii
Mpaka hapo utakuwa ushameza wembe wakoFinal ni yanga na namungo
Hutaki meza wembe
Sio kaushindilia vizuri?Sio kutoboa pekee, hadi mwiko nyuma kauchomoa
Unapenda kuanzisha nyuzi afu hutoi updates😂Saa 2:15 usiku Simba SC, kukipiga na Namungo FC. Je, ni timu gani kufuzu kwa hatua ya fainali? Kuungana na Azam Fc?
Ni kufa au Kupona mmoja Lazima aende kupambana na Azam FC
Je tutashuhudia Mikwaju ya Penalt Tena?
Tuwe pamoja