Ah tena basi ungejua mwenzio mpira ndio burudani yangu namba mbili hapa duniani...ofcoz number one ni obvious[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yaani ukitaka kujua formation strategy tactics wala usiende mbali utapata lexicon zote za mpira hapa kuanzia gegen pressing ya man utd mpaka total football ya timu ya uholanzi ya mwaka 1974 and 1978.
Toka the wm formation ya kocha wa arsenal mwaka 1939 mpaka 4-6-0 ya pep ambayo ilimfanya kibabu fergson ateteme kwenye bench. Need i say more?