FT: Simba 2 Namungo 0. Simba yatinga fainali ya Mapinduzi Cup 2022

FT: Simba 2 Namungo 0. Simba yatinga fainali ya Mapinduzi Cup 2022

Ah tena basi ungejua mwenzio mpira ndio burudani yangu namba mbili hapa duniani...ofcoz number one ni obvious[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Yaani ukitaka kujua formation strategy tactics wala usiende mbali utapata lexicon zote za mpira hapa kuanzia gegen pressing ya man utd mpaka total football ya timu ya uholanzi ya mwaka 1974 and 1978.

Toka the wm formation ya kocha wa arsenal mwaka 1939 mpaka 4-6-0 ya pep ambayo ilimfanya kibabu fergson ateteme kwenye bench. Need i say more?
[emoji114][emoji114]
 
Mnyama yupo kwenye mazoezi usiku huu akifanya mazoezi na wajamaa wanaoharibu jina la Simba na kuita Chimba
download (1).jpg
download.jpg
images (29).jpg
 
Back
Top Bottom