FT: Simba 2 Namungo 0. Simba yatinga fainali ya Mapinduzi Cup 2022

Ulitazama mechi? Unamlaumu Nahimana kwa kosa gani?

Utopolo unatafuta angle ya kujifariji.
 
Ulitazama mechi? Unamlaumu Nahimana kwa kosa gani?

Utopolo unatafuta angle ya kujifariji.
😇😇😇😄😄Amevurugwa na hesabu huyo.

😄😄 Hesabu ni nzuri sana eeeehh, mwalimu nikumbushe, niweze kukumbuka....... moja mbili, tatu nne, tano sita, saba nane tisa...........

Loooh hapo imekosekana 10 pekee kukamilisha ubeti wa chekechea
 
Simba ni rahaaaa mnoo halafu mashabiki zake hatunaga stresss kwanza ligi hii ndo hatuna kabisaaa stress. Stress wanazo upande wa pili wanawaza ubingwa uende kwa Simba mara 5 mfululizo tutaeleweka kweli?
 
Lile beki la namungo jinga Sana lilikaba kizembe hadi kuruhusu goli la pili hata mimi ningezuia mpira ule.
 
Ficha ujinga wako ile shuti ya sakho aliipangua kwa akili mno kabla kagere haujamkuta ule mpira na kufunga....kumbuka kagere alitumia akili nyingi mno kuudundisha ule mpira maana angesema apige chini tu nahimana angeudaka vizuri mno


Bao la pili kipa yoyote duniani anafungwa

Game ya ligi ile header ya kagere kipa yoyote duniani anafungwa
 
Lile beki la namungo jinga Sana lilikaba kizembe hadi kuruhusu goli la pili hata mimi ningezuia mpira ule.
Kwenye mpira mchezaji unatakiwa uwe na hesabu.
Hesabu za yule beki ilikua ni kumzuia Sakho kwenye njia badala ya kuzuia mpira.

Sakho angekua ndo Mugalu au Kagere angeshindana nguvu na yule beki lakini Sakho akatumia hesabu kubwa zaidi za kumkwepa yule Nyati pori beki wa Namungo
 
We jamaa haya majina yote utayabebea wapi? Hata mimi nayataka nigawie japo mawili tu .

Hahaaa… bado hayo hayanitoshi naongezea hapo mengine manne!
Ila kama vipi chagua happ hayo mawili boss…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…