Ila we jamaa kesi kama sio yako acha kuidharau, kwenye kesi ya wizi wa kuku jaji anaweza kupiga hata nyundo 30 usidharau
Yaani yale mautundu ya sakho yoote hujayazungumzia, unakuja kuzungumzia kipa?
Tuseme kwamba uko sahihi na ni kweli yule kipa kachomesha
Haya ni wachezaji wengine wakiwemo washambuliaji walishindwaje kumfunga manula goli 3 ili hata tulivyowafunga 2 wawe na advantage ya kucheza fainali?
Vipi....unauona ugumu wa namungo kuifunga simba goli 3 sio?
Haya vipi goli 2 nazo zingewezekanika kwa mazingira gani pale hebu imagine hata wewe?
Kipa kuchomesha kunawazuiaje wachezaji wengine kufunga?
Umeona ilivyokuwa ngumu? Sasa je na hawa tuseme wamechomesha?