FT: Simba 2 Namungo 0. Simba yatinga fainali ya Mapinduzi Cup 2022

Timu zilizotolewa nusu fainali Mapinduzi Cup zimefugwa jumla ya magoli 11.

Namungo 2 yaani 1, 2.

Yanga 9 yaani 1, 2, 3, 4, 5, 6, 7, 8, 9.
Hapa kwa Uto mtoto wa chekechea anaweza jifunza kuhesabu kabisa.
lakini pia wameandika record mpya ambayo walikuwa wana nyanyaswa sana na watani wao

Kupitia haya mashindano yanga imemkata mdomo simba kuhusu zile kelele za kufuzu hatua ya makundi ambayo simba wamekuwa wakilingia
 
Wana hasira hao ngoja waje hapa,ndugu yangu [mention]Insigne [/mention] uko wapi?
 
Namungo hawakupaswa kumpanga Nahimana. Huyu ni golikipa anayecheza kinazi Sana dhidi ya Simba tangu zamani.

Goli zote mbili kafungwa kizembe:

Aliondoka KMC Kwa kuifungisha timu kizembe kila KMC ilipocheza na Simba, Kama hiyo haitoshi Nahimana alinukuliwa katika kipindi cha Sports Arena akisema anapenda Simba. Kauli iliyomuondoa KMC .

Namnukuu mwenyekit wa KMC

Kheri ambaye pia ni diwani wa Bunju alisema kuwa kwa mchezaji wa aina yake na nafasi anayocheza na umuhimu wake kwenye timu, Nahimana hakupaswa kuonyesha mapenzi kwa timu ya Simba wakati bado ana mkataba na timu yake.
 
Manara kwa siku hizi mbili ajitahidi sana asijaribu kuzungumzia ishu ya 29,000 watu wameficha gubu vifuani mwao wanamtafutia sababu ajikologe

Ushauri naoweza kupendekeza ni kwamba kitafutwe kimechi hapo, hata ken gold watafaa sana. Tukichape magoli mengi kurudisha morale ya mashabiki halafu kesho yake tuendelee na kampeni yetu ya changia yanga 29,000
 
Namungo hawakupaswa kumpanga Nahimana. Huyu ni golikipa anayecheza kinazi Sana dhidi ya Simba tangu zamani.

Goli zote mbili kafungwa kizembe:

Aliondoka KMC Kwa kuifungisha timu kizembe kila KMC ilipocheza na Simba, Kama hiyo haitoshi Nahimana alinukuliwa katika kipindi cha Sports Arena akisema anapenda Simba. Kauli iliyomuondoa KMC .

Namnukuu mwenyekit wa KMC

Kheri ambaye pia ni diwani wa Bunju alisema kuwa kwa mchezaji wa aina yake na nafasi anayocheza na umuhimu wake kwenye timu, Nahimana hakupaswa kuonyesha mapenzi kwa timu ya Simba wakati bado ana mkataba na timu yake.
Unamlaumu nahimana kweli...!!!???
 
Back
Top Bottom